ASILIMIA 97 YA WATOTO WANAOZALIWA HUNYONYESHWA MAZIWA YA MAMA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake  na Makundi Maalumu Mhe.Mwanaidi Khamis akiongea na wananchi wa halmashauri ya Ikungi wakati wa uzinduzi wa wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kwa watoto. Naibu Waziri Mhe.Mwanaidi Khamis akimsalimia mtoto mchanga aliyezaliwa kwenye kituo cha Afya cha Ikungi. Mhe.Mwanaidi akisalimiana na watoa huduma za afya wa kituo cha